SERIKALI IKO MAKINI NA INAFUATILIA MIRADI YOTE INAYOTEKELEZA INAYOTELEZWA HAPA NCHINI

Waziri Kassim Majaliwa amesema Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan iko makini na itaendelea kufuatilia miradi yote inayotekelezwa katika maeneo mbalimbali nchini ili kudhibiti matumizi mabaya ya mali ya umma. Pia, Mheshimiwa Majaliwa amesema Serikali kupitia ofisi ya Waziri Mkuu imeandaa mfumo wa ufuatiliaji na tathmini ya mipango na